NAFASI YA KISWAHILI DUNIANI

    
Lugha ya Kiswahili imekuwa maarufu sana  afrika na duniani kwa sasa hususani katika miaka ya hivi karibuni  ambapo ni miongoni mwa lugha tatu bora zinazozungumzwa zaidi barani afrika kwa sasa
zikiwemo na lugha kama kiingereza na kiarabu pia. 

Chimbuko la lugha hii ni pwani ya Afrika mashariki takribani miaka 1000 iliyopita, Lugha hii ilitumiwa na waarabu katika kueneza dini ya kiislamu, Lugha za kibantu zilionekana kushabihiana sana na athira ya kiarabu jambo lilipelekea maendeleo ya lugha ya kiswahili,
 Lugha zilizounda Kiswahili ni kama zifuatazo
1.Kiajemi-maneno kama bibi na cherehani
2.Kireno-Maneno kama bendera, gereza na meza
3.Kihindi-Maneno kama lakhi na Gunia
4.Kiingereza-Maneno kama shati,koti na tochi
5.Kiarabu-Maneno kama marhaba,sheikh
 Tanzania inatumia lugha ya kiswahili kama lugha ya taifa, Kenya pia ilitangaza kiswahili kama lugha ya taifa ingawa bado inaendelea na matumizi ya kiingereza pia,Nchini uganda kiswahili kinatumika sana mae
neo ya polisi na mahakama.

Comments

Popular posts from this blog

"Fahamu zaidi..."