KUELEKEA SUASO ELECTION 2020/2021
Class monitor- Songea boys (2012)
Domitory leader-Songea boys (2013)
Makamu mwenyekiti serikali ya wanafunzi Songea boys (2014)
Kaimu Mwenyekiti serikali ya wanafunzi Songea boys (2015)
Mwenyekiti serikali ya wanafunzi Same sekondari (2017)
Section trainer(ST) mlale jkt,COY D (2018)
Mbunge wa kihonda block
'A' -SUA (2019/2020)
Ni kijana aliye na mtazamo chanya katika jamii yake,Vilevile anaonekana mtu bora katika Uongozi katika kila jamii inayomzunguka. Akiwa pamoja na Abdon Theonest katika kuwania nafasi ya URAIS SUASO 2020/2021,Wamejipanga katika kuhakikisha wanashirikiana na WanaSUASO katika kuhakikisha changamoto zinatatuliwa ili kuifanya jamii ya SUA kuwa sehemu bora ya kuishi na vilevile mahali pa kupata elimu iliyo bora ambalo ni lengo la kila MwanaSUASO..Wanahitaji ushirikiano wako kwa kuwapigia kura kama kauli yao isemavyo 'TEAM WORK,TRANSPARENCY &
ACCOUNTABILITY'
BAADHI YA MATUKIO MBALI MBALI AKIWA SEHEMU MBALIMBALI KAMA KIONGOZI

Team Leader AEA
''Same is not THE SAME''😃
SAME SEKONDARI
Songea Boys 2014

Historian ya uongozi inakwenda kubadilika na kuwa mtu mzito suaso✌️✌️✌️
ReplyDeletekabisa
DeleteYou deserve kura yangu niyako
ReplyDeleteWanastahili kura zetu
ReplyDeleteWanasuaso sijui wanahitaji nini tena Hawa ndio viongozi bora kabisa
ReplyDeleteKura yangu chukuaa 🙋🙋
ReplyDelete