Popular posts from this blog
KUELEKEA SUASO ELECTION 2020/2021
"Fahamu zaidi..."
Maisha ni mtiririko wa mambo yanayotokea duniani ambayo kwa ujumla wake hayachagui mtu,umri, jinsia wala muonekano wa mtu..Yote katika yote yanahitaji utayari,jitihada na imani ili kuyafikia. Mafanikio hayakuumbwa kwa sababu ya watu au mtu fulani,bali kwa kila aliye tayari kuyaendea,atakapofanya jitihada na kuwa na imani ya kile akifanyacho bila kuyumbishwa na mtu anaweza kufanikiwa kwa asilimia mia. Lakini pia katika kufikia mafanikio yoyote hatua muhimu kabisa ni kujifunza,kutambua kuwa katika jambo ulifanyalo kuna watu wamekuzidi hatua,hivyo basi ni vema zaidi kujifunza kutoka kwao.. Hii itakuongezea maarifa na kukupa stadi mpya za ubunifu katika kile ukifanyacho katika kuhakikisha unakuwa bora zaidi.. Daima usisite kujifunza

Comments
Post a Comment