JIPENDELEE

Jipende, Jipendelee, Jiweke maridhawa, Jipende upendwe. Inafahamika bila shaka ukijipenda utapendwa pia.

Ni kanuni ya kawaida kwamba uzuri wa kitu hupatikana baada ya kukipenda ama usipokipenda hutouona uzuri wake. 

Ni nzuri kujipenda na kujipendelea kile unachokipenda.

Comments

Popular posts from this blog

"Fahamu zaidi..."